Hamia kwenye habari

Dada Yelena Kozhevnikova

MACHI 6, 2024
URUSI

Dada Yelena Kozhevnikova Ahukumiwa Kifungo cha Nje cha Miaka Miwili

Dada Yelena Kozhevnikova Ahukumiwa Kifungo cha Nje cha Miaka Miwili

Machi 4, 2024, Mahakama ya Tsentralniy iliyo katika Wilaya ya Tolyatti Eneo la Samara ilimhukumu Dada Yelena Kozhevnikova. Alihukumiwa kifungo cha nje cha miaka miwili. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunashangilia kujua kwamba Yehova anajibu sala zetu na kumpa Yelena “nguvu kupitia roho yake” pamoja na ndugu na dada wote wanaoendelea kuvumilia mateso.​—Waefeso 3:16.

Mfuatano wa Matukio

  1. Mei 15, 2023

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  2. Mei 16, 2023

    Nyumba ilifanyiwa msako

  3. Mei 18, 2023

    Aliwekewa vizuizi vya kusafiri

  4. Agosti 16, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianza

  5. Machi 4, 2024

    Alihukumiwa miaka miwili ya kifungo cha nje

a Maelezo ya Dada Kozhevnikova yalichukuliwa kabla ya hukumu kutolewa.