Hamia kwenye habari

Ndugu Aleksandr Chagan na mke wake, Yekaterina

MACHI 1, 2024
URUSI

Ndugu Aleksandr Chagan Amehukumiwa Kifungo cha Miaka Minane Gerezani

Ndugu Aleksandr Chagan Amehukumiwa Kifungo cha Miaka Minane Gerezani

Februari 29, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Tsentralniy Tolyatti katika Mkoa wa Samara ilimhukumu Ndugu Aleksandr Chagan kifungo cha miaka nane gerezani. Alichukuliwa kutoka katika chumba cha mahakama na kupelekwa gerezani.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunaendelea kusali kwa Yehova kwamba ‘uso wake umuangazie’ Aleksandr na wote ambao wanaendelea kudumisha bidii kwa ajili ya jina lake.​—Zaburi 119:135, 139.

Mfuatano wa Matukio

  1. Machi 4, 2022

    Nyumba ilifanyiwa msako

  2. Septemba 14, 2022

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  3. Septemba 21, 2022

    Nyumba ilifanyiwa msako kwa mara ya pili

  4. Septemba 22, 2022

    Alihojiwa na kuzuiliwa usiku kucha

  5. Septemba 23, 2022

    Aliachiliwa na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  6. Agosti 23, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianza

  7. Februari 29, 2024

    Alihukumiwa kifungo cha miaka nane gerezani

a Maelezo ya Ndugu Chagan yalichukuliwa kabla ya hukumu kutolewa.