AMKENI! Februari 2015 | Je, Biblia Ina Faida Leo?
Tafadhali chunguza kanuni nne muhimu zinazopatikana kwenye Biblia, na faida ya kanuni hizo katika maisha yako.
HABARI KUU
Je, Biblia Ina Faida Leo?
Hilton alipoondoka nyumbani, wazazi wake walifikiri asingeweza kubadilika. Lakini, aliporudi nyumbani baada ya miaka 12, Wazazi wake hawakuamini macho yao. Ni nini kilichomfanya abadilike?
HABARI KUU
Viwango Vinavyomfaa Kila Mtu, Nyakati Zote—Unyoofu
Raquel, angeweza kupata pesa kwa kukubali kuhongwa, lakini anahisi amepata jambo bora zaidi kuliko pesa hizo.
HABARI KUU
Viwango Vinavyomfaa Kila Mtu, Nyakati Zote—Kujizuia
Ni nini kilichomsaidia mwanamume anayeitwa Cassius kudhibiti hasira yake?
HABARI KUU
Viwango Vinavyomfaa Kila Mtu, Nyakati Zote—Uaminifu
Mwanamke mmoja alijifunza kupitia makosa yake umuhimu wa kuwa mwaminifu kwa mume wake. Je, alifaulu kuokoa ndoa yake?
HABARI KUU
Viwango Vinavyomfaa Kila Mtu, Nyakati Zote—Upendo
Upendo unaotajwa mara nyingi katika Biblia si ule wa kimahaba au kimapenzi.
KUUTAZAMA ULIMWENGU
Kuchunguza Afya
Habari za hivi karibuni zinathibitisha usahihi wa Biblia kuhusu afya
Hekima Ni Ulinzi
Ni nini maana ya methali ya Biblia inayosema: “Fidia ya nafsi ya mtu ni utajiri wake, lakini maskini hajasikia kemeo”?
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Mtoto Wako Anapokuuliza Kuhusu Kifo
Mambo manne yanayoweza kukusaidia kujua jinsi ya kumjibu mtoto wako na kumsaidia kukubaliana na kifo kinapotokea
MAHOJIANO
Kwa Nini Kasisi Alibadili Dini?
Soma kuhusu jitihada za Antonio Della Gatta za kumtafuta Mungu.
MAONI YA BIBLIA
Masihi
Je, wajua Biblia ilitabiri kwamba Masihi angeuawa kabla ya kukamilisha majukumu yake?
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Ncha za Mabawa ya Ndege Wanaopaa Angani
Kwa kuiga muundo wa mabawa ya ndege, wahandisi wameokoa lita milioni 7600 za mafuta ya ndege katika kipindi cha mwaka mmoja.
Habari Zaidi Mtandaoni
Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Hekima
Furahia kuungana na marafiki kwenye Intaneti huku ukihakikisha uko salama.
Unafurahi Unapotoa
Kuna njia nyingi za kuwapa watu. Unaweza kufikiria baadhi ya njia hizo?