Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Ekuado

  • Chambo, Ekuado​—Kutoa broshua katika lugha ya Quichua

Taarifa Fupi—Ekuado

  • 16,939,000—Idadi
  • 100,195—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,212—Makutaniko
  • 1 kwa 171—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kutetea Uhuru wa Ibada wa Jamii za Wenyeji wa Asili

Wapinzani waliposhambulia haki ya kuabudu kwa uhuru ya Mashahidi wa Yehova, ndugu zetu walitenda upesi ili kusaidia.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ekuado