Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Guatemala

Taarifa Fupi—Guatemala

  • 18,918,000—Idadi
  • 39,022—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 825—Makutaniko
  • 1 kwa 488—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijionea Upendo kwa Matendo

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Wanakaribia Kuanza Kazi Kubwa ya Kujenga Upya Nchini Guatemala na Mexico Baada ya Matetemeko ya Ardhi

Mashahidi wa Yehova wataanza kazi kubwa ya kutoa msaada ili kuwasaidia Mashahidi wenzao nchini Mexico na Guatemala ambao waliathiriwa na matetemeko makubwa sana ya ardhi.