Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Mongolia

  • Erdenet, Mongolia—Kuzungumzia broshua inayotegemea Biblia pamoja na familia ikiwa nje ya nyumba yao

Taarifa Fupi—Mongolia

  • 3,423,000—Idadi
  • 432—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 8—Makutaniko
  • 1 kwa 8,431—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Ushindi wa Uhuru wa Kidini Nchini Mongolia: Mashahidi wa Yehova Wasajiliwa Tena

Mashahidi wa Yehova katika mji mkuu wa Mongolia walipata cheti kutoka ofisi ya Baraza la Jiji kilichowapa ruhusa ya kusajili shirika lao la kidini.

AMKENI!

Kutembelea Mongolia

“Nchi Yenye Anga la Bluu” ni nchi iliyo na wakazi wanaohama-hama na wenye sifa nzuri ya ukarimu.