Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Nikaragua

  • Las Pilas, Nicaragua​—Kufundisha kwa kutumia Biblia

Taarifa Fupi—Nikaragua

  • 6,855,000—Idadi
  • 28,843—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 466—Makutaniko
  • 1 kwa 240—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MASIMULIZI YA MASHAHIDI WA YEHOVA

Mafuriko Yaliyotokeza Habari Njema

Baada ya mvua kubwa, vijiji nchini Nikaragua vilipata msaada kutoka chanzo ambacho hawakutarajia.

AMKENI!

Kutembelea Nikaragua

Ni ziwa pekee lenye maji baridi lililo na viumbe wa baharini kama vile papa, chuchunge, na tarpon.