Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Tutamsifu Mungu kwa Umoja

Tutamsifu Mungu kwa Umoja

Pakua:

  1. 1. Watu wanalia.

    Hawana tumaini.

    Kuna vita; kote kote,

    Hawana suluhisho.

    Japo machafuko

    Na ahadi za watu,

    Tunatamani ahadi Yake,

    Dunia paradiso:

    (KORASI)

    Mungu wetu,

    Mmoja,

    Na amani

    Duniani pote

    Tutaimba sote.

  2. 2. Tuna uhakika

    Japo tunateseka.

    Yehova yuko anatutunza

    Tuna amani tele,

    Anatutuliza,

    Na kutufariji.

    Twapata amani milele,

    Tunaposubiri:

    (KORASI)

    Mungu wetu,

    Mmoja,

    Na amani

    Duniani pote

    Tutaimba sote.

    (DARAJA)

    Chini ya Mfalme,

    Uhuru milele.

    Huzuni kwisha na kifo kwisha,

    Tumwabudu yeye

    Yehova, Mfalme.

    (KORASI)

    Mungu wetu,

    Mmoja,

    Na amani

    Duniani pote—

    Mungu wetu,

    Mmoja,

    Na amani

    Duniani pote

    Tutaimba sote,

    Neno latimizwa!